Wabunifu Blog JINSI YA KUANDAA MPANGO BIASHARA …
· Menejimenti na Utawala Mfumo wa biashara kama ni ya mtu mmoja ubia au kampuni chora chati ya mtiririko wa madaraka wasifu wa maofisa wa ngazi za juu mathalani Mkurugenzi Mtendaji na wakurugenzi wengine idadi ya wafanyakazi kwa sasa mpango wa ukuaji au kuongezeka kwa wafanyakazi mfumo wa umiliki kama ni kampuni weka mchanganuo wa hisa za kila mmliki kama ni …